Hazard ndio mchezaji bora EPL so far

Hazard ndio mchezaji bora EPL so far

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
10995276_1623325204553084_4305503081570839784_n.jpg


Tukiweka ushabiki pembeni,si dhani kama kuna atakae nipinga kuwa hakuna mchezaji anaecheza mpira wa kuvutia EPL kwa sasa kama Eden Hazard
 
Surely!!! Jamaa Anafaham Xana Mimi Napendaga Kumwita Dribbing Machine!
 
Hilo kitaalamu na kitakwimu halina ubishi, ila kiushabiki sanichez anahusika.
 
sina ubishi juu ya data zako zinashadidia kwamba hazard ni mkali
 
ukimtoa Sanchez hazard ndio mchezaji bora Epl

hadi nusu msimu sanchez ana 44% ya kura
amehusika katika magoli 19 bila ya penati

huyo hazard ana penati 5 kati ya goli sita

ha ha ha ha ha ha

#london is red
 
Back
Top Bottom