Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme anaheshimika kaenda sehemu ambayo CR7 pamoja na kufanya makubwa Madrid kuliko mchezaji yoyote lakini hajapata heshima anayostahili ameondolewa kama mbwa koko.
Paul scholes,lampard na Gerald wanaheshimika Sana na wamepata mafanikio makubwa bila hata kwenda Madrid au barcelona.Yaani unashangaa mchezaji upo kwenye timu kubwa inchini England kwanini unatamaa kwenda sehemu ambayo unakuwa haupo uhuru
We mwangalie coutinho kapishana na gari la dhahabu kaikimbia Liverpool msimu unaofuata Liverpool kachukua champion league sasa hiv anaonekana si chochote pale Barcelona na ametolewa mkopo hiv kwel kwa ubora wa coutinho ni wakutolewa kwa mkopo?