Hazard wa Chelsea si huyu wa Madrid

Hazard wa Chelsea si huyu wa Madrid

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme anaheshimika kaenda sehemu ambayo CR7 pamoja na kufanya makubwa Madrid kuliko mchezaji yoyote lakini hajapata heshima anayostahili ameondolewa kama mbwa koko.

Paul scholes,lampard na Gerald wanaheshimika Sana na wamepata mafanikio makubwa bila hata kwenda Madrid au barcelona.Yaani unashangaa mchezaji upo kwenye timu kubwa inchini England kwanini unatamaa kwenda sehemu ambayo unakuwa haupo uhuru

We mwangalie coutinho kapishana na gari la dhahabu kaikimbia Liverpool msimu unaofuata Liverpool kachukua champion league sasa hiv anaonekana si chochote pale Barcelona na ametolewa mkopo hiv kwel kwa ubora wa coutinho ni wakutolewa kwa mkopo?
 
Kwa mpira anaocheza lampard kwa sasa na hazard angebaki naona angekuja kuwa legend kwenye hiyo club

Ila mount akiendelea kupambana hazard hamtamkumbuka tena dogo anakuja njema
 
Kawaida wachezaji weupe hufanyiwa kazi kubwa na weusi na kupewa wao masifa
Hazard kazi kubwa ilikuwa inafanywa na Ngolo Kante...

Hata kina Zidane enzi zao walisaidiwa sana na kina Makelele
Daah umenikumbusha midfield hatari makelele...jamaa ni unsung hero!
 
Hazard sijui kawaje..lakini jamaa Ni mkali msimkatie tamaa..shida nyingine kanenepa anaona amefika..lakini jamaa mpambanaji Sana
 
Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme anaheshimika kaenda sehemu ambayo CR7 pamoja na kufanya makubwa Madrid kuliko mchezaji yoyote lakini hajapata heshima anayostahili ameondolewa kama mbwa koko.
Paul scholes,lampard na Gerald wanaheshimika Sana na wamepata mafanikio makubwa bila hata kwenda Madrid au barcelona.Yaani unashangaa mchezaji upo kwenye timu kubwa inchini England kwanini unatamaa kwenda sehemu ambayo unakuwa haupo uhuru
We mwangalie coutinho kapishana na gari la dhahabu kaikimbia Liverpool msimu unaofuata Liverpool kachukua champion league sasa hiv anaonekana si chochote pale Barcelona na ametolewa mkopo hiv kwel kwa ubora wa coutinho ni wakutolewa kwa mkopo?
Hazard hakufukuzwa Chelsea,,,,,
Mbaya zaidi kapewa namba aliyokuwa anavaa mfalme ktk soka,,
Kajitakia mwenyewe na muda sio mrefu ataanza kuzomewa na mashabiki wa madrid
 
Kweli kabisa ata Tommy hayupo vibaya
Kwa mpira anaocheza lampard kwa sasa na hazard angebaki naona angekuja kuwa legend kwenye hiyo club

Ila mount akiendelea kupambana hazard hamtamkumbuka tena dogo anakuja njema
 
Madrid walipatia usajili wa Cr7 tu
Hazard sijawahi mkubali hata akiwa Chelsea
 
Hazard kaongeza kilo.Perez ana hamu msimu uishe amnunue Mbappe na Neymar.
 
Kawaida wachezaji weupe hufanyiwa kazi kubwa na weusi na kupewa wao masifa
Hazard kazi kubwa ilikuwa inafanywa na Ngolo Kante...

Hata kina Zidane enzi zao walisaidiwa sana na kina Makelele
Kabla ya Kante alikuwa anafanyiwa na nani kazi?

NA Kante sasa hivi anamfanyia nani kazi?
 
Kwa mpira anaocheza lampard kwa sasa na hazard angebaki naona angekuja kuwa legend kwenye hiyo club

Ila mount akiendelea kupambana hazard hamtamkumbuka tena dogo anakuja njema

Mpigaji bora wa mipira iliyokufa pamoja na corner ni willian nashangaa lampard anampa mount.... ndio mnamteng’enezea mazingira
 
Kawaida wachezaji weupe hufanyiwa kazi kubwa na weusi na kupewa wao masifa
Hazard kazi kubwa ilikuwa inafanywa na Ngolo Kante...

Hata kina Zidane enzi zao walisaidiwa sana na kina Makelele
Na ndo maana anaomba Kante asajiliwe Madrid....!
 
Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme anaheshimika kaenda sehemu ambayo CR7 pamoja na kufanya makubwa Madrid kuliko mchezaji yoyote lakini hajapata heshima anayostahili ameondolewa kama mbwa koko.

Paul scholes,lampard na Gerald wanaheshimika Sana na wamepata mafanikio makubwa bila hata kwenda Madrid au barcelona.Yaani unashangaa mchezaji upo kwenye timu kubwa inchini England kwanini unatamaa kwenda sehemu ambayo unakuwa haupo uhuru

We mwangalie coutinho kapishana na gari la dhahabu kaikimbia Liverpool msimu unaofuata Liverpool kachukua champion league sasa hiv anaonekana si chochote pale Barcelona na ametolewa mkopo hiv kwel kwa ubora wa coutinho ni wakutolewa kwa mkopo?
Navo ona hazard pale hana feture atarudi chelsea kwa mkopo hakuondoka vibaya
 
Whats your point mkuu.
Ss ulitaka hazard akae timu ndogo km chelsea ili iweje,
Hazard anapenda maisha mazuri mzee,angalia mshahara anaolipwa sahv,ukirndekeza sifa ikifika umri unastahafu unakua umepga hela ndgo,btw msimu wake wa kwanza tena hta nusu haujafika unaleta siasa za bongo,em chill mpe muda
 
Hata yule Alexis Sanchez wa Asernane sio yule sanchez wa Manyumbu United
 
Back
Top Bottom