Hazard wa Chelsea si huyu wa Madrid

Kawaida wachezaji weupe hufanyiwa kazi kubwa na weusi na kupewa wao masifa
Hazard kazi kubwa ilikuwa inafanywa na Ngolo Kante...

Hata kina Zidane enzi zao walisaidiwa sana na kina Makelele
Mkuu acha mbwembwe bwana, kwani Ng'olo Kante kasajiliwa chelsea lini? Na Hazard alianza kuwasha moto chelsea lini?
 
Hazard sijui kawaje..lakini jamaa Ni mkali msimkatie tamaa..shida nyingine kanenepa anaona amefika..lakini jamaa mpambanaji Sana
Mkuu ile ni Madrid na sio chelsea
Alienda pale
Ricardo kaka
Gareth Bale
Robinho
Arjen Robben
James rodriguez

Nadhani hawa mwisho wao unaujua
 
Chelsea ni timu kubwa ...daaaah unachekesha sana chelsea hiii ya iliyoanza giangluca viali na ruud gullit ndio unasema ni timu kubwa
 
Chelsea ni timu kubwa ...daaaah unachekesha sana chelsea hiii ya iliyoanza giangluca viali na ruud gullit ndio unasema ni timu kubwa
Tuache ushabiki mkuu ukipiga mahesabu chelsea ndio timu yenye mafanikio zaid pale england ndani ya miaka kumi since 2009_2019
 
ila sio siri chelsea watakua na bonge la mpira hivi karibuni....wana makosa madogo madogo sana...waulize liverpool
 
Acha utani mzee baba Chelsea timu ndogo?
 
Wachezaji wamekariri kuwa bila kuchezea Real Madrid au Barcelona basi hujawa mchezaji japo hii sio kweli.

Wachezaji wachache sana ambao wakihamia huko hushamiri.
When they move to Spain people expect a lot from them than they can deliver.
 
Continho kundoka Liverpool kwenda Barcelona ni kosa

Hazard kutoka Chelsea kwenda Madrid ni kosa kubwa

Sunchez kutoka arsenal kwenda man u ni bonge la kosa

Mikitaryan kutoka man u kwenda arsenal ni kosa
Oscar kutoka Chelsea kwenda China ni kosa..

Kuna muda mchezaji inabid ulizike ulipo kuliko kuhama hama, pesa ni ndo maisha ila jali sana kile kinachokupa ela...
 
Hazard sijui kawaje..lakini jamaa Ni mkali msimkatie tamaa..shida nyingine kanenepa anaona amefika..lakini jamaa mpambanaji Sana
Ivi inakuwaje mchezaji anakimbia kila game Dakika 90 non stop na matizi ya kufa mtu anafanya na bado ananenepa?
 
Chelsea ni timu kubwa ...daaaah unachekesha sana chelsea hiii ya iliyoanza giangluca viali na ruud gullit ndio unasema ni timu kubwa
Chelsea imetimiza ndoto za wachezaji wengi tu ..unasema ni timi ndogo!! Kuwa na adabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…