monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu acha mbwembwe bwana, kwani Ng'olo Kante kasajiliwa chelsea lini? Na Hazard alianza kuwasha moto chelsea lini?Kawaida wachezaji weupe hufanyiwa kazi kubwa na weusi na kupewa wao masifa
Hazard kazi kubwa ilikuwa inafanywa na Ngolo Kante...
Hata kina Zidane enzi zao walisaidiwa sana na kina Makelele