Tetesi: Hazina Kuu Imekauka, Mishahara ya Septemba Itachelewa

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,923
Reaction score
4,594
Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.

Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.
 
Acha uwongo..
 
Let it be the case so that everyone be aware of what is happening and has been happening.While they are in deep sleep.
 
Kama hata polis hawajalipwa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…