Daah basi mtihani , kwaiyo madeni kwa mangi tunalipaje sasa ili watot wale ...Kiukweli mambo nu ngumu Sana hakuna hela
Aisee tarehe 29 tukinukisheni tu bila ivo tutakua tumesaliti hata future generation
Daah basi mtihani , kwaiyo madeni kwa mangi tunalipaje sasa ili watot wale ...Kiukweli mambo nu ngumu Sana hakuna hela
Ntakusubili tu tupokee kwa pamoja😁Inawezekana ukawahi kupokea kabla yangu
Watekaji ni wasiojulikana. Polisi mbona wanajulikana. Polisi wanatumika kutishia raia tuu sio kuteka na kupoteza watu.Ninge kua najua mishahara ya polisi inapofichwa ninge enda kuiiba nawachukia Sana, mtu anategemewa na familia mtu anamteka anaenda kumuua what that shit is tupendane mtatumaliza alafu mtaanza kuwindana nyie kwa nyie time will come
ww ni kaongo mama samia ashacheka leo leo atm ya hapa nyamagana kuna folen ya hatar........"!Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.
Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.
Mwekezaji wa kimataifa a.k.a bongeNgoja tupige simu hapa mlipwe na "mwekezaji" wa kimataifa.
View attachment 3478381
Ngumu hiyoNtakusubili tu tupokee kwa pamoja😁
😂😂😂😂😂😂Ngoja tupige simu hapa mlipwe na "mwekezaji" wa kimataifa.
View attachment 3478381
Hili linamfanano na ukweli,hivi sasa hata kama unakiakiba chako hukipati kwa uhuru,kulala njaa ama porini ni nje nje.Lilianza tulilo amini ni ligiant litunza hazina zetu,sasa vifaranga wake wanaweweseka na tuakiba twetu kiasi cha kujuta kuwafahamu na kuwaamini.Yetu macho na masikio,kwa sasa kheri yao wasioona na wasiotaka kusikia.Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.
Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.