kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mtawalaumu tu hazina, kila leo meko anakuja na miradi yake toka kichwani ambayo haikuwekwa kwenye bajeti, na anataka ianze hapo hapo, unadhania jiyo pesa ya kutekeleza miradi hiyo inatoka kwenye bajeti gani??kama sio kutolewa kwenye mafungu ambayo yalikuwa ya metengewa fedha hizo?kuendesha nchi bila kuheshimu utaratibu wa bajeti ni mgumu sana kwa watendaji, vyanzo vya kodi vimepungua ndio maana umeanza ubambikiaji tu,Ni lazima watendaji na wakandarasi wawe ni mikakati ya namna ya kufinance miradi ya kimkakati kwa kupitia PPP,municipal bonds,Loans,etc kwa kuzingatia Ushindani wa kibiashara.hazina lazima wakusanye kodi ili waweze kutoa PESA so kama hakuna makusanyo ni tatizo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Fedha hakuna, siyo kwamba hazina wanachelewesha. Fedha zote zinaelekezwa eneo la kimkakati "Chato" ili iwe kama "URAYAAA".