HBD General Msuguri Miaka 103

matunzo yanachangia lakini pia umri wa mwamba ni more gueswork than not.

Hata angefikisha 120 hataingizwa kwenye rekodi za dunia kwa saab hakuna DOB verification, alizaliwa nyumbani na kijiji kizima illiterate, who knows when ?
Kwani kina Nyerere walijuaje kama wamezaliwa 1922? Miaka hiyo huko Vijijini Hospital za Mission na Makanisa (Catholics) zilikuwepo na walikuwa wanawatunzia rekodi zao vizuri tu.Unakuta hata vyeti vya kubatizwa ambavyo vinaonyesha alizaliwa lini na record ya lini alianza shule vinakuwepo Parokiani.
 

Baba Paroko hawezi kujua umezaliwa lini. Analishwa taarifa zako na waliokuleta kanisani miaka kadhaa baada ya kuzaliwa, baadae anazitema kama zilivyo. Garbage in garbage out.

Nyerere alizaliwa nyumbani na wazazi illiterate kwenye kijiji primitive. Butiama hakukuwa na hospitali ya mission wala kanisa wala shule mwaka wa 1920. Rekodi rasmi hazikuwepo.
 
Haya matusi yanakusaidia nini. Je unaweza kumuongelea babu yako hivi? Tuwe na adabu na kuheshimu waliochangia pakubwa kwa taifa letu tunalofaidi sasa
 
Unataka kusema miaka hiyo hakukuwa na Hospitals za Mission? Nimekwambia taarifa zilikuwa zinapatikana kutokea Hospital za Mission na hizo hizo zinatumiwa mpaka Makanisani.Mbona mimi Babu yangu taarifa zake za kuzaliwa zilipatikana Hospital ya Bukumbi iliyokuwa chini ya Wamisionary wa White Fathers na alizaliwa 1918.
 
Haya matusi yanakusaidia nini. Je unaweza kumuongelea babu yako hivi? Tuwe na adabu na kuheshimu waliochangia pakubwa kwa taifa letu tunalofaidi sasa

History, demography and social anthropology ya jamii havijawahi kuwa matusi.

Huijui nchi yako. 1920s Tanganyika ni vijiji vya kijima na kipori vilivyogubikwa giza, ujinga na umaskini.

Musuguri na Nyerere na kizazi chao hawakujua wamezaliwa lini. Wala wako wapi kwenye ramani ya dunia.

Tarehe za matukio ya watu wa jamii hizi kama kuzaliwa na kufa by and large is unverified guesswork.
 
Kumbe! Yawezekana sikukuelewa au hujaeleweka. Sijui kosa lao nini wakati hawakujipangia wazaliwe lini. Hata hivyo, heri yao waliofanya waliyofanya na kuwapa baadhi ya wenzetu hata kukufuru na kutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…