Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwamba huwa naukubaliHongera sana shujaa wetu. Miaka 103 sio mchezo.
Kulia kwake ni mke wake,kushoto ni mama ake mdogo amefariki mwaka jana mwanzoni akiwa na miaka 90.Huyo Bibi pembeni ni Mkewe au Mama yake?
Mwamba hata sura haijakunjamana aloo.
Hbd kwake.
Matunzo pia yanachangia.Owkey.
Mwamba alimzidi mama mdogo umri lakini mama Mdogo bado akaonekana Mzee kumzidi Mwamba.
Matunzo pia yanachangia.
Kwani kina Nyerere walijuaje kama wamezaliwa 1922? Miaka hiyo huko Vijijini Hospital za Mission na Makanisa (Catholics) zilikuwepo na walikuwa wanawatunzia rekodi zao vizuri tu.Unakuta hata vyeti vya kubatizwa ambavyo vinaonyesha alizaliwa lini na record ya lini alianza shule vinakuwepo Parokiani.matunzo yanachangia lakini pia umri wa mwamba ni more gueswork than not.
Hata angefikisha 120 hataingizwa kwenye rekodi za dunia kwa saab hakuna DOB verification, alizaliwa nyumbani na kijiji kizima illiterate, who knows when ?
Kwani kina Nyerere walijuaje kama wamezaliwa 1922? Miaka hiyo huko Vijijini Hospital za Mission na Makanisa (Catholics) zilikuwepo na walikuwa wanawatunzia rekodi zao vizuri tu.Unakuta hata vyeti vya kubatizwa ambavyo vinaonyesha alizaliwa lini na record ya lini alianza shule vinakuwepo Parokiani.
Haya matusi yanakusaidia nini. Je unaweza kumuongelea babu yako hivi? Tuwe na adabu na kuheshimu waliochangia pakubwa kwa taifa letu tunalofaidi sasaBaba Paroko hawezi kujua umezaliwa lini. Analishwa taarifa zako na waliokuleta kanisani miaka kadhaa baada ya kuzaliwa. Garbage in garbage out.
Nyerere alizaliwa nyumbani na wazazi illiterate na kijiji primitive. Butiama hakukuwa na hospitali ya mission wala kanisa wala shule mwaka wa 1920. Rekodi rasmi hazikuwepo.
Unataka kusema miaka hiyo hakukuwa na Hospitals za Mission? Nimekwambia taarifa zilikuwa zinapatikana kutokea Hospital za Mission na hizo hizo zinatumiwa mpaka Makanisani.Mbona mimi Babu yangu taarifa zake za kuzaliwa zilipatikana Hospital ya Bukumbi iliyokuwa chini ya Wamisionary wa White Fathers na alizaliwa 1918.Baba Paroko hawezi kujua umezaliwa lini. Analishwa taarifa zako na waliokuleta kanisani miaka kadhaa baada ya kuzaliwa. Garbage in garbage out.
Nyerere alizaliwa nyumbani na wazazi illiterate na kijiji primitive. Butiama hakukuwa na hospitali ya mission wala kanisa wala shule mwaka wa 1920. Rekodi rasmi hazikuwepo.
Hawa ndiyo 'wasomi' wa sasa wa Tanzania tunaowategemea.Ukija kuchunguza elimu zao utabaki umeduwaa,twende nao tu hivyo hivyo Mkuu.Haya matusi yanakusaidia nini. Je unaweza kumuongelea babu yako hivi? Tuwe na adabu na kuheshimu waliochangia pakubwa kwa taifa letu tunalofaidi sasa
Mzee ana roho nzuri sana,ana aina ya upendo ambao unajiuliza "huyu anawezaje"?Inaonekana alifanya vizuri hakuonea watu , ishi baba hadi kilembwe umekiona
Haya matusi yanakusaidia nini. Je unaweza kumuongelea babu yako hivi? Tuwe na adabu na kuheshimu waliochangia pakubwa kwa taifa letu tunalofaidi sasa
Basi ndio maanaMzee ana roho nzuri sana,ana aina ya upendo ambao unajiuliza "huyu anawezaje"?
Kumbe! Yawezekana sikukuelewa au hujaeleweka. Sijui kosa lao nini wakati hawakujipangia wazaliwe lini. Hata hivyo, heri yao waliofanya waliyofanya na kuwapa baadhi ya wenzetu hata kukufuru na kutukanaHistory, demography and social anthropology ya jamii havijawahi kuwa matusi.
Huijui nchi yako. 1920s Tanganyika ni vijiji vya kijima na kipori vilivyogubikwa giza, ujinga na umaskini.
Musuguri na Nyerere na kizazi chao hawakujua wamezaliwa lini. Wala wako wapi kwenye ramani ya dunia.
Tarehe za matukio ya watu wa jamii hizi kama kuzaliwa na kufa by and large is unverified guesswork.