twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended?
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimaanisha kwa gearboxHii hydraulic oil inatumika kwenye starling power au sehemu gani nyingine
Gari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crownNilimaanisha kwa gearbox
Crown hizi za 2004-2005 wame recommend WS Yani World standard ATF Mkuu.Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended.
Asante
Chomoa dip stick inakua imeandikwaTafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended.
Asante
Crown haina dipstick Baba kwenye gearbox.Chomoa dip stick inakua imeandikwa
MmmmmmhCrown haina dipstick Baba kwenye gearbox.
Fanya utafiti utanambia,ina dipstick ya engine oil Tu,gearbox ina sehemu ya koki Tu kuweka na kutolea Kwisha.Mmmmmmh
Life time means 'WITHIN WARRANTY' nyingi unashauriwa kubadili ikifika 60,000km. Kwa Ulaya na Japan huko unaweza kuburuza hadi ukauza gari lakini kibongobongo inabidi ubadili tu.Gari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crown
Imeandikwa kwenye draining plug chini ya gearbox sump pan(WS)Chomoa dip stick inakua imeandikwa
Lifetime warranty , huwa zinakuja hivyoCrown haina dipstick Baba kwenye gearbox.
Ila kibongo bongo hapa Mimi huwa na drain na weka nyingine fluid zetu huku sionagi kama ziko vile Og mkuu.Lifetime warranty , huwa zinakuja hivyo
Lifetime labda kwa Europe na Japan ila sidhani kama inatuhusu wabongo tunakaa na gari hadi linaingia kwenye mirathi mara tatuGari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crown
Bro sisi hatutumii magari bali tunayafuja , gari unaweza nunua japan imetembea km hata laki nne , chini haigongi wala nn , hapa utaendesha kma 100000 tu , tayari unasikia manyanga chini.Lifetime labda kwa Europe na Japan ila sidhani kama inatuhusu wabongo tunakaa na gari hadi linaingia kwenye mirathi mara tatu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Don't be trapped kwenye lifetime transmission fluid ,(this is myth)..no transmission fluid lasts the life time of a carGari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crown
Sio mimi , na wala sijawahi nunua ziro km , huko first world wanayanunua na kuyatumia , nimeyashuhudia hapa kwetu yakija kama mitumba , mengine hadi km 2000000 plus , gearbox oil plug haijawai guswa na chuma ipo intact..Don't be trapped kwenye lifetime transmission fluid ,(this is myth)..no transmission fluid lasts the life time of a car