Hdraulic oil kwa Crown Athlete

Hdraulic oil kwa Crown Athlete

Deep stick ya gearbox ya Toyota imeandikwa “under normal driving condition do not change ATS”
Normal driving conditions ni kupita kwenye barabara ambazo mpangilio wa gear huendana na speed ya gari mfano bara and za lami, barabara za changarawe, barabara zizizokua na milima mikali kama ya Kitonga.

Un normal driving condition hii maana yake ni pale rpm ya gari yako inapokua kubwa kuliko speed ya gari, mfano umekwama hivo unahitaji acceleration kubwa kuliko gear, kwenye milima ambapo unahitaji gear ndogo na acceleration kubwa.

ATS fluid au oil ya gearbox haibadilishwi unless umeshauriwa na mtaalam ambae atakupa vigezo vya kubadilisha, mojawapo ni imechange rangi au imepungua kutokana na hizo un normal driving condition

Tukija kwa mafundi wetu wa KiTanzania atakuambia hii unatakiwa ubadilsihe, swali rahisi la kumuuliza ni “manual book [emoji432] “ iliokuoa muongozo ubadilishe iko wapi?

Kutokana na changamoto hizi za “fundi michael” kutaka ubadilishe transmission fluid bila kutoa maelezo yaliojitosheleza ndio maana magari mengi ya kisasa waliweza kutoa deep stick ya gearbox kusudi mtu asihangaike nayo kabisa.

Kwa maelezo zaidi kwa gari za Toyota tembelea mawakala wake na ushauri wanakupa free, kuna elimu nyingi sana wamiliki wa magari hawajui, ukipata muda tembelea ofisi za Toyota maswali yote ya Oil aina gani, filter mpaka matairi watakujibu na ni free.
 
Mimi nakubaliana na elimu yako, hakika leo umenifumbua macho kuhusu hili. mafundi wengi wakibongo, wanakwambia, baada ya kumwaga oil ya engine mara tatu, basi inatakiwa umwage na ya gearbox, kwakeli mafundi wengi huwaulia magari wateja wao, bila kujua.
 
Back
Top Bottom