He!!eti 'M TO THE P'hajui kama Mangwea amefariki dunia!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Taarifa hizo nimezinyaka kupitia clouds FM.
Inasemekana kwamba jamaa anasumbua sana maana anataka kuongea na mshikaji wake lakini hampati,na kutokana na hali yake ya sasa wameshindwa kumwambia ukweli maana pengine inaweza kua balaa zaidi!
 
Nilickia hyo lakin sidhan km amepewa cm kutumia na hampati.
Je aliowapata hawawez kumpa taarifa?
Je hawez kujua kupitia mitandao ya kijamii?
 
Kwani ni ajabu sana kwa yeye kutokujua.......? Wewe ukiwa na mgonjwa hajiwezi unaweza kumpa taarifa za msiba.......tena ukizingatia aliyekufa walikuwa wote yeye akanusurika.........?
 
Inasikitisha sana hiyo ukizingatia wote ni kama ndugu
 
Hapo mi napata taabu kidogo kuamini mpaka leo mshkaji asijue kama mwenzie kapinda; kwa sababu kuna vyanzo vingi sana na si lazima aambiwe na watu! Labda wazuie jamaa kutumia simu kabisa na sitoke ndani, vigumu sana kumzuia kujua yaani kwa hiyo asitumie net kabisa! Hapo ndo naona pagumu kuzuia asijue!!!
 
Inasikitisha sana hiyo ukizingatia wote ni kama ndugu

hali yake kiafya sio nzuri halafu unataka apewe habari za kifo ku worsen condition yake???????
hakuna kinachosikitisha hapo that is the least they can do for him
 
huko hamna jf?bado amelewa na madawa enwey
 
Dah! Inashangaza na kusikitisha sana sjui akijua hapo alipo atakuwa katika hali gani lazima takuwa anahisi tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
muda ukifika ataelezwa kila kituu..
 
akiambiwa hawezi kufa kam hali yake mbaya asingeruhusiwa kutoka hospital, mi naona watu wanataka kutengeneza superstar mwngne hapa mana hatumalizi siku m to the p,
 
Ripoti ya dokta inasemaje kuhusu hawa watu wajamen??
ni madawa,sumu au mipombe???????????????/
 
Naomba kujua huyu M to The P ameimba nyimbo gani?
 
Taarifa hizo nimezinyaka kupitia clouds FM.
Inasemekana kwamba jamaa anasumbua sana maana anataka kuongea na mshikaji wake lakini hampati,na kutokana na hali yake ya sasa wameshindwa kumwambia ukweli maana pengine inaweza kua balaa zaidi!


Kwani kafufuka na yeye si alifariki?
 
Wasubiri mpaka arikave kwanza tusije tukapata majanga mengine.

"Nikifa Leo pengo langu halina spea coz me ndio mimi hatuwezi kuwa pair so nageuka mac-regan nawaambia endeleaa"--Ngwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…