He kumbe airtel walitoaga ile bando ya usiku ya 10 gb?

He kumbe airtel walitoaga ile bando ya usiku ya 10 gb?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Hawa jamaa niliwakimbiaga sababu ya speed ya kobe baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko na halotel leo nikasema nikachungulie kama lile bando pendwa la usiku la kudownload movies, vitabu, softwares bado lipo, ilikuwaga 10 gb kwa 1,500 lahaula nimekuta lipo la 500 unapata mb 375

Hkayamungu kwa kweli majamaa wanahitaji kupulizwa na viyoyozi kwenye ma V -EITE yao sio kwa kutukamua huku, khe
 
Back
Top Bottom