He, kumbe ngumi zimepigwa huko Mbeya?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Sikiliza mwenyewe

Your browser is not able to display this video.

"Jina la Simba kuliko watu waliyopo, kwa mchezo huu namlaumu Mgunda kwasababu Boko alikuwa amechoka na amechelewa kumtoa hata kabla ya kuambiwa. Akamuingiza Kibu, lakini kibu mzigo. Viongozi wa Simba wasajili viungo na foward wachezaji kama akina Boko, Mkude waache waende hata Ihefu au wakapumzike. Yanga sasa hivi ni wamoto na mbinu wanaijua tina ya mpira kuliko Simba, wachezaji wanaruka ukuta wanaenda kupiga mtu."
 
Kwani chama wanayemtegemea siku zote akuwepo uwanjani? Au yeye ni hatari akiwa kwa mkapa tu na mikoani anakuwa kama kibu denis[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hatari akiwa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…