He!...Kumbe nyumba hii ina Malaika!

Sasa tatizo liko wapi JK alisema 'ukitaka kula shurti uliwe'.acha kijana aendelee na mdogo wako nawe ukijaribu kwa dadake.
 

Hapo tu ndipo JF wanaponiacha hoi na kuamini kua kuna watu makini humu. Jamaa kashikwa utam sana hapo. Be consistent mdau sio huku waweka status single while the previous posts unatangaza una mke. Anafikiri watu humu wapo narrow minded au? Kudos bubu ataka kusema kwa kutukamatia huyu.We hope next time atakua makini zaidi and more consistent.
 
Tia timu mwana sikiliza hisia zako.sio kuangalia watu
 
Mkuu kama huna wivu basi rudi mwanzo waite dogo na sister yako wape tu idhini ya kuwa marafiki na kama vp waambie wafanye ngo..o salama maana hata kama umewakataza itafika siku watamegana tu bila hata wewe kujua.
Hii itakurahisishia na wewe kumega ingawa unaweza kumega bila bila kufuata ya hapo juu!
Kilalakheri mwana kwenye huo mtanange naimani utafanikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…