Ila hii picha ina ujumbe mzito sana maana wanasema ,Picha inaweza kusema maneno zaidi ya elfu moja.
Ukiiangali picha utaona bibi anavyomaka ,pia unaweza kusema inawezekana kumwambia Kikwete unavyofanya si vizuri ,au mambo yako siyaelewi pengine anaambiwa ulifikiri Uraisi ni kuuza njugu.
Na Kikwete kwa anavyojichekelea anaona huyu kizee zake zishakwisha hana jipya.