He! Vita kati ya Wolper na Sarah juu ya Harmonize yaendelea

Ak477

New Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
2
Reaction score
0


Inaonekana kama Wolper anaitafuta bado nafasi yake kwa Harmonize basi kama sio labda bado anampenda na sijui Bff wake Brown imeishia wapi manake hapostiwi tena

Angalia hii video uone balaa lililozuka baada ya Harmonize kutoa wimbo wa Shulala alioimba na Korede Bello


Dah kweli Wabongo bwana unaweza usiwaelewe wakati mwengine

Usisahau kubonyeza SUBSCRIBE baada ya kuangalia hio video upate habari zote za wasanii
 
wamefanyana nini?weka walau muhtasari wa kilichotokea hapa jukwaaani...hizo video wengine hatuna mb za kuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…