Inaonekana kama Wolper anaitafuta bado nafasi yake kwa Harmonize basi kama sio labda bado anampenda na sijui Bff wake Brown imeishia wapi manake hapostiwi tena
Angalia hii video uone balaa lililozuka baada ya Harmonize kutoa wimbo wa Shulala alioimba na Korede Bello
Dah kweli Wabongo bwana unaweza usiwaelewe wakati mwengine
Usisahau kubonyeza SUBSCRIBE baada ya kuangalia hio video upate habari zote za wasanii