Sawasawa Kasie matata, nakubaliana na wewe toto la kinyamwezi.He wasn't man enough for me. .....
Mara nyingi,am tired of it..Nilishawahi kukulalamikia?
All in all he wasn't man enough for me.
Yaani hapo moto wake sio wa kitoto, ilikuwa nikigonga ule upula wa sikonge kwa wiki mbili mfululizo nikienda Orion na nanliu ni mwendo wa nyimbo tu zile za..........Hahahahaaa wanyamwezi ni moto wa kuotea mbalii....
Mixer ya asali mbichi na karanga mbichi nayo ni hatarii...
Yaani hapo moto wake sio wa kitoto, ilikuwa nikigonga ule upula wa sikonge kwa wiki mbili mfululizo nikienda Orion na nanliu ni mwendo wa nyimbo tu zile za..........
Hadi nimeiweka picha iliyo kwenye avatar yako kwenye profile pic yangu ya what's up nilipoulizwa nimeitolea majibu mujarabu hakikaAahahahahahahahaa VIVA wanyamwezi.....
VIVA Tabora...
I salute you kwa makaratee
Hadi nimeiweka picha iliyo kwenye avatar yako kwenye profile pic yangu ya what's up nilipoulizwa nimeitolea majibu mujarabu hakika
Toto la kinyamwezi Kasie matata ,mjuzi wa mambo lakini mpoleeeee kwa muonekano wake, mtaalamu wa kiasali, asiyependa makuu, ukimzingua anakutolea uvivu, mkubwa umri lakini ukimuona kama binti maninaaaaaaa hahahhaaaaaaaaa. Una mambo mnyamwezi ww! HhahahahahaaaaAahahahahahahahaa looh, I wish to see your contact list vile wanakuuliza maswali...... huyo bibi ni nani kwenye DP yako....
Una hatari weweee...... ninong'oneze basi ulovowajibu aahahahahhahahahaaa.