Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #61
Toto la kinyamwezi Kasie matata ,mjuzi wa mambo lakini mpoleeeee kwa muonekano wake, mtaalamu wa kiasali, asiyependa makuu, ukimzingua anakutolea uvivu, mkubwa umri lakini ukimuona kama binti maninaaaaaaa hahahhaaaaaaaaa. Una mambo mnyamwezi ww! Hhahahahahaaaa
Hahahahaaa weeweeee
Wanasemaga akutukanaye hakuchagulii tusi
Wewe ngoja nikuchagulie tusi lako......
Mashika mashika mashilongo.
Namatobolwa yakoo... aahahahahha
Kasie Matata