Hea katingi saluni

Hea katingi saluni

utajiri wa kiafrika,popote alipo lazima AK 47 ionekane.
 
Mimi kiko kiti tu duh!! Na jamaa anayenyolewa anasikia rahaaa mpak anasinzia yaani
 
Khaaa!!!!...What the hell???????????

Huyo aliyekalia nanihinoo jamani vp tena?

Afu uchi wa mnyama jamani?......This is too gay for me japo najua hawana hisia kama hizo.
Gaaademm utamaduni mwengine unakazi yakhe!...:lie::A S-eek::lie:
 
hawa watu ni wasafi... wamevua nguo ili zisishike nywele...

Wasiwasi wangu na hapo chini alipokaa huyo anayenyolewa... hakuna wadudu??
 
hivi ni rebels au lebels?...hebu nithibitishieni
Rebels are people who are fighting against their own country's army in order to change the political system there.
 
hivi hawa jamaa huwa hawajamiiani wenyewe kwa wenyewe kinyume cha maumbile kweli? inatia mashaka
 
mhhh.jpg

Huko Tanganyika Mna makabila na mila za kimajabu ajabu?hapo amembamiza mwenziwe Muwanzi wa Mugongo ,hatari lakini salama (mazoweya yanatabu)
 
awa jamaa miguu yao kama haina nyama kabisa..duh...halafu, hvi inakuwaje mtu ukakaa uchi ivo halafu hata hujistukiii? mimi hata wakati nasoma shule za bodingi...huwezi ona nikiwa uchi mbele za watu pamoja na kwamba watu huoga pamoja kwenye mabafu mamoja, kwenye mito mimoja etc.., ni tofauti kabisa na ustaarabu..
 
hawa watu ni wasafi... wamevua nguo ili zisishike nywele...

Wasiwasi wangu na hapo chini alipokaa huyo anayenyolewa... hakuna wadudu??

nadhani hakuna wadudu na hata wakiwepo hawana pa kuingilia...ha ha ha :spider:

 
Back
Top Bottom