HEAD TO HEAD:INTERNATIONAL FOOTBALL PLAYERS KENYA VS TZ

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
677



Soka la nje ni big deal na sote tunajua, Jana katika fainali za Uefa champions league, Timu zote liverpool na kenya zilikuwa na wakenya, upande wa liverpool ambao ni mabingwa wapya wa uefa kulikuwa na Divock Oregi huku upande wa Tottenham alikuwepo victor Wanyama.

Ikumbukwe kwamba baba yake Divock aliwahi kuchezea club ya ubelgiji "Genk" anayochezea mchezaji tegemeo wa Tanzania "Mbwanna Samatta"
 
Sisi hata huko Misri pia tunaenda kuvuna aibu kama ile tuliopata huko Zimbabwe kwenye Catarist.
Asalaalee.....! Umefanya nicheke ufakiri ni mazuri, kuna watu wamekuja kuiharibu nchi na kujenga mpasuko(deliberately) ambao watu wa nchi moja lakini watakuwa wakiangaliana utafikiri nchi iko kwenye civil war.
Raia walio na mrengo tofauti na utawala au wale wanaohoji pale wanapoona mambo hayaendi sawia wanabanwa, wanateswa, wanatekwa, wanauawa na mikwara ya aina mbalimbali kibao kiasi mpaka wamefikia kuichukia nchi yao wenyewe.
Nchi mpaka kurudi tena kuwa kama nchi yenye unity hata kama watu wana mitazamo tofauti kwenye mambo mbalimali itahitaji kiongozi mwenye busara sana na si hawa ambao hata mambo ya kawaida ya kujenga nchi wanayaita vita. Tumezoea vita vya kiuchumi ni pale nchi zinapowekeana vikwazo kwa mfano lakini Bongonyoso it's a completely different story, so sad.
#Bring back our unity#
 
Tuanze na Career ya Mshambuliaji tegemeo wa Tanganyija ambae kafikia mbali katika soka la wanatanganyika

Timu alizochezea.

African Lyon (tanganyika)
-Simba (danganyika)
-Tp Mazembe (Congo)
Genk (belgium)
 
Samata is far better compare to wa(meat)
My dear neighbour danganyikan naona hata huelewei mpira, huwezi kufananisha mshambuliaji na mlinzi, anyway a heads up for you Wanyama amefika fainali za uefa na kufunga timu kama barcelona, thinhs that a danganyikan never has archieved.

Huyo samaata tungemfananisha anacheza position za kina Divock Oregi aliefungia timu iliyobeba uefa champions league jana, too bad Divock Oregi yupo leve za mbali mno kumfananisha na danganyikan golden boy
 
hahaha origi ni mbelegiji kama ni hivyo ata Tanzania inawachezaji wapo kibao tuu wengine wanacheza dotmund kina paulsen lakini huwez skia sisi watanzania tunawalilia kwamba ni wabongo hao wako na nchi zao hapo mkenya ni wanyama tuu
 
Wakenya wanapenda kung'ang'ania visivyo vyao, madhara yake huku kwetu hasa pwani ukiwa mtoto wa kiume ni ishara mbaya
 
Hey mashemegi Oregi is not a Kenyan.
 
Marcos Rashford Ana asili ya Zanzibar lkn huwezi kuona wabongo wakidai ni mtz

Origi hajafikia hata kiwango cha kinda Kelvin John
 
Trying to have a logical,factual and intellectual conversation with Danganyikans here is like trying to get water from a piece of Rock...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…