shadownet
Senior Member
- Aug 4, 2015
- 133
- 677
Soka la nje ni big deal na sote tunajua, Jana katika fainali za Uefa champions league, Timu zote liverpool na kenya zilikuwa na wakenya, upande wa liverpool ambao ni mabingwa wapya wa uefa kulikuwa na Divock Oregi huku upande wa Tottenham alikuwepo victor Wanyama.
Ikumbukwe kwamba baba yake Divock aliwahi kuchezea club ya ubelgiji "Genk" anayochezea mchezaji tegemeo wa Tanzania "Mbwanna Samatta"