Headline: Kanuni ya mawakala kutopewa fomu ya matokeo ni batili na ipuuzwe hivi

" Wagombea urais walifuata maelekezo batili ya tume. Tundu Lissu ndiye alifuata sheria inavyoelekeza".

Kwa tafsiri hii ina maana ya kwamba uchaguzi umesha haribiwa. Kwa kuwa wagombea wengi hawakufuata sheria mama ya uchaguzi hivyo basi wamekosa uhalali kisheria kuwa wagombea. Na kwa mujibu wa sheria mama kama ulivyo tafsiri hapo juu Mh TAL anakuwa mgombea pekee asiye na mpinzani.
 
Mkuu mimi nina wasiwasi na kutegemea nguvu ya umma kupata suluhu ya jambo hili kwa sababu sisi Watanzania tuna utofauti sana ktk kuzungumza na kutenda ukilinganisha na nchi nyingine mfano Kenya.
 
Ufafanuzi mzuri, mkuu
 
Mkuu mimi nina wasiwasi na kutegemea nguvu ya umma kupata suluhu ya jambo hili kwa sababu sisi Watanzania tuna utofauti sana ktk kuzungumza na kutenda ukilinganisha na nchi nyingine mfano Kenya.
Nilichokiona Nyamongo mambo yanabadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…