Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Mind your Business ndugu.Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao.
Shule hizi zimetelekezwa, walimu wanafanya shughuli zao binafsi, wengine wana vipindi shule binafsi. Hii shule tajwa hapo juu iko karibu kabisa na barabara kuu ya Arusha-Moshi, ni kilometa moja tu kutoka barabara kuu.
Headmaster wa hii shule haonekani shuleni, tunaambiwa ana shule yake binafsi, ni kwa nadra sana kufika kazini, ni mtoro wa kudumu.
Hii imefanya mpaka leo walimu hawajaanza kufundisha. Kwa mfano, mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza ameingia darasani mara moja tu na kafundisha "What is Physics" tu mpaka leo tunaenda mwezi wa nne.
Halafu tunakuja kutukana watoto wetu hawana akili? Physics kidato cha kwanza ina mada (topics) karibu kumi mpaka leo hawajafundishwa, kwanini watoto wasifeli?
Kwanini wasichukie masomo ya Sayansi? Headmaster wa hii shule na huyo mwalimu wake wa Physics ni wachawi wa watoto wetu.
Tunajua ndani ya Halmashauri kuna Afisa Elimu Sekondari, kuna wadhibiti ubora, kuna mkurugenzi. Wako wapi wasijue uhuni wote huu unafanyika?
Inawezekana tatizo limeanzia juu kwa waziri. Rais, mpeleke Dr. Dorothy Onesphory Gwajima Wizara ya Elimu, yule mama ni mwajibikaji. Prof. Mkenda anachojua ni kubadili mitaala na kutunga sera mpya, hayo ni makaratasi tu hayatasaidia kitu kama hakuna uwajibikaji.
Mtazamo na ushauri wangu, yule headmaster ashushwe, anyang'anywe ukuu, na mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza apewe onyo. Kama hataki kazi apishe, tuko wengi tunaojua Physics zaidi yake. Atupishe tusaidie watoto wetu kufikia ndoto zao.
Afisa Elimu wa pale Meru ni jamaa moja yuko na makogo tu, anafikiri cheo ni egoism, siyo kazi. Yule jamaa hajitambui, apelekwe DEO mwingine anayejua wajibu wake. Wale wadhibiti ubora waondolewe pale, kazi yao ni umbea na kusubiri muda wa chai na lunch.
Hawa viongozi wote niliowataja watoto wao wako private huku wanakula kodi zetu. Wawafuate watoto wao waliko, wafanye kazi huko.
Bila shaka utakua mwalimu tu wewe mna roho za chuki sana nyie wapumbavuShule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.

Kwa sababu wao ndio wametufikisha hapa tulipo tukianza na aliyeingiza nchi kwenye chaka tangia ile 1961 ni alikuwa mwalimu, anayesimamia chaguzi/kuandikisha wapiga kura na kupendelea CCM ni walimu, na aliyesema wahitimu wa vyuo vikuu wakimaliza degree zao waende VETA ni mwalimuKila siku ni walimu tu
Watu km hao ndio wanafanya shule za serikali kuonekana vioja, hao wapuuzi washughulikiwe ipasavyo. Mh. Rais abadilishe uongozi hasa waziri, waziri ajaye afanye overhaul. Ndio wanafunzi wameanza mtaala mpya lakini walimu hawaingii darasani? Km mtu hataki kazi aondoke au aondolewe aendelee na mambo yake huko mitaani. Mtoto wangu yuko private form one somo hilo la Physics wameshasoma Introduction to Physics, Measurement, Introduction to Force na sasa hivi wako wanasoma Density and Relative Density, Form One kuna Chapters 9. Kwa hali hiyo kila mzazi mwenye uwezo hawezi kumpeleka mtoto wake shule ya serikali, shule za serikali zitabaki kuwa za walalahoi, hii ni laana kubwa kwa nchi yetuShule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao.
Shule hizi zimetelekezwa, walimu wanafanya shughuli zao binafsi, wengine wana vipindi shule binafsi. Hii shule tajwa hapo juu iko karibu kabisa na barabara kuu ya Arusha-Moshi, ni kilometa moja tu kutoka barabara kuu.
Headmaster wa hii shule haonekani shuleni, tunaambiwa ana shule yake binafsi, ni kwa nadra sana kufika kazini, ni mtoro wa kudumu.
Hii imefanya mpaka leo walimu hawajaanza kufundisha. Kwa mfano, mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza ameingia darasani mara moja tu na kafundisha "What is Physics" tu mpaka leo tunaenda mwezi wa nne.
Halafu tunakuja kutukana watoto wetu hawana akili? Physics kidato cha kwanza ina mada (topics) karibu kumi mpaka leo hawajafundishwa, kwanini watoto wasifeli?
Kwanini wasichukie masomo ya Sayansi? Headmaster wa hii shule na huyo mwalimu wake wa Physics ni wachawi wa watoto wetu.
Tunajua ndani ya Halmashauri kuna Afisa Elimu Sekondari, kuna wadhibiti ubora, kuna mkurugenzi. Wako wapi wasijue uhuni wote huu unafanyika?
Inawezekana tatizo limeanzia juu kwa waziri. Rais, mpeleke Dr. Dorothy Onesphory Gwajima Wizara ya Elimu, yule mama ni mwajibikaji. Prof. Mkenda anachojua ni kubadili mitaala na kutunga sera mpya, hayo ni makaratasi tu hayatasaidia kitu kama hakuna uwajibikaji.
Mtazamo na ushauri wangu, yule headmaster ashushwe, anyang'anywe ukuu, na mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza apewe onyo. Kama hataki kazi apishe, tuko wengi tunaojua Physics zaidi yake. Atupishe tusaidie watoto wetu kufikia ndoto zao.
Afisa Elimu wa pale Meru ni jamaa moja yuko na makogo tu, anafikiri cheo ni egoism, siyo kazi. Yule jamaa hajitambui, apelekwe DEO mwingine anayejua wajibu wake. Wale wadhibiti ubora waondolewe pale, kazi yao ni umbea na kusubiri muda wa chai na lunch.
Hawa viongozi wote niliowataja watoto wao wako private huku wanakula kodi zetu. Wawafuate watoto wao waliko, wafanye kazi huko.
Siyo shule zote za serikali ziko vibayaWatu km hao ndio wanafanya shule za serikali kuonekana vioja, hao wapuuzi washughulikiwe ipasavyo. Mh. Rais abadilishe uongozi hasa waziri, waziri ajaye afanye overhaul. Ndio wanafunzi wameanza mtaala mpya lakini walimu hawaingii darasani? Km mtu hataki kazi aondoke au aondolewe aendelee na mambo yake huko mitaani. Mtoto wangu yuko private form one somo hilo la Physics wameshasoma Introduction to Physics, Measurement, Introduction to Force na sasa hivi wako wanasoma Density and Relative Density, Form One kuna Chapters 9. Kwa hali hiyo kila mzazi mwenye uwezo hawezi kumpeleka mtoto wake shule ya serikali, shule za serikali zitabaki kuwa za walalahoi, hii ni laana kubwa kwa nchi yetu
Walimu hawajitambuiBila shaka utakua mwalimu tu wewe mna roho za chuki sana nyie wapumbavu
We Chaumbea umeenda kushitaki kwa Afisa Elimu Kata? Au kwa Afisa Elimu Wilaya au hata kwa Diwani? Mbona wewe ni Kambea sana Dada? Unatuambia sisi Wakulima tuliopo Ruvuma tukusaidieje? au tumwandikie barua ya Onyo?Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao.
Shule hizi zimetelekezwa, walimu wanafanya shughuli zao binafsi, wengine wana vipindi shule binafsi. Hii shule tajwa hapo juu iko karibu kabisa na barabara kuu ya Arusha-Moshi, ni kilometa moja tu kutoka barabara kuu.
Headmaster wa hii shule haonekani shuleni, tunaambiwa ana shule yake binafsi, ni kwa nadra sana kufika kazini, ni mtoro wa kudumu.
Hii imefanya mpaka leo walimu hawajaanza kufundisha. Kwa mfano, mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza ameingia darasani mara moja tu na kafundisha "What is Physics" tu mpaka leo tunaenda mwezi wa nne.
Halafu tunakuja kutukana watoto wetu hawana akili? Physics kidato cha kwanza ina mada (topics) karibu kumi mpaka leo hawajafundishwa, kwanini watoto wasifeli?
Kwanini wasichukie masomo ya Sayansi? Headmaster wa hii shule na huyo mwalimu wake wa Physics ni wachawi wa watoto wetu.
Tunajua ndani ya Halmashauri kuna Afisa Elimu Sekondari, kuna wadhibiti ubora, kuna mkurugenzi. Wako wapi wasijue uhuni wote huu unafanyika?
Inawezekana tatizo limeanzia juu kwa waziri. Rais, mpeleke Dr. Dorothy Onesphory Gwajima Wizara ya Elimu, yule mama ni mwajibikaji. Prof. Mkenda anachojua ni kubadili mitaala na kutunga sera mpya, hayo ni makaratasi tu hayatasaidia kitu kama hakuna uwajibikaji.
Mtazamo na ushauri wangu, yule headmaster ashushwe, anyang'anywe ukuu, na mwalimu wa Physics wa kidato cha kwanza apewe onyo. Kama hataki kazi apishe, tuko wengi tunaojua Physics zaidi yake. Atupishe tusaidie watoto wetu kufikia ndoto zao.
Afisa Elimu wa pale Meru ni jamaa moja yuko na makogo tu, anafikiri cheo ni egoism, siyo kazi. Yule jamaa hajitambui, apelekwe DEO mwingine anayejua wajibu wake. Wale wadhibiti ubora waondolewe pale, kazi yao ni umbea na kusubiri muda wa chai na lunch.
Hawa viongozi wote niliowataja watoto wao wako private huku wanakula kodi zetu. Wawafuate watoto wao waliko, wafanye kazi huko.
Mimi waalimu nawaheshimu sanaaa...🤣. Ingekuwa ni Mhasibu hafiki ofisini huyu asingesema huku angeenda kwa Mkuu wa Idara lakininkwakuwa ni Teacher kamleta humuu🤣🤣🤣...halafu labda mwanae hufundishwa na huyo Mwalimu....Walimu hawajitambui
Mkuu elewa content za uzi.Second Master si yupo? Labda Headmaster ana dharura, mi nikiwa shule fulani hapahapa Arusha Olevel kwanzia Form 1 hadi 3 nilikua sijawahi kumuona Headmistress shuleni hata sura yake nilikua siijui kumbe yule Mama alikua anamuuguza mume wake huko India kwa miaka yote alirudi tuko form 4 ndo namuona kwa mara ya kwanza, shughuli zote za utawala akawa anafanya Msaidizi wake.
Alafu hao ni watawala siyo kila siku anakua shuleni siku zingine ataenda kwenye vikao au seminar mbalimbali , sidhani Headmaster wa shule iliyo mjini kama hiyo anaweza kujiamulia tu kutokwenda shule.