Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 936
- 1,303
Wazazi wasikuizi wamekosa mbinu kabisa za malezi ya kielimu Kwa watoto zao au sijui wanafunzi ndio wamekosa ubunifu. Hao walimu usawa wa kipato unabana lazima wajipambanie wapate mahitaji ya kulea familia zao kama wewe unavopenda kuilea ya kwako mtaishia kulalama tuu. Miaka yetu ulikuwa unakuja shule ushacover nusu ya Topics zote kitaa nimwendo wa wanafunzi kufundishana Topic unayoielewa vizuri mnaishia kugawana ujuzi wenyewe mpaka siku mwalimu akiingia ni mwendo wa kumchallenge mpaka anajua hili darasa Lina watu mbona atakuja mwenyewe kucover part yake na kuendelea na Mambo yake huko. Imagine mwalimu unaweza hesabu siku alizoingia darasani Kwa miaka uliyokaa shule lakini mtihani wa mwisho A au B hukosi. Leeni watoto zenu wawe smart kuitafuta elimu maeneo mengine sio kujua ratiba za mipira na nyimbo za singeli tuu. Mzazi soft mtoto soft changamkeni, Kuna walimu tupo nao kitaa huku wanajipambania wakimbiemaisha magumu ndio unategemea awe busy na mwanao na watoto zake apeche alolo