Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
hatari sana mkuu... tatizo ni Jiwe.Daah hatari.hukukwetu vipi mbona hatusikii au vipimo hatuna.watu wanajifia tuu kama mbuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana mkuu... tatizo ni Jiwe.Daah hatari.hukukwetu vipi mbona hatusikii au vipimo hatuna.watu wanajifia tuu kama mbuzi.
Ni hatari sanaHalafu kanisa Katoliki linakataa kusimamisha misa! Sisi tutapukutika vibaya!
Wakenya ni watu wa ajabu sana, Kenya itaendelea kudidimia zaidi hata baada ya Corona, hata sijui niseme nini kuhusu wakenya, kwa kifupi tu wakenya ni watu wa hovyo sana.Huko kenya kuna nini kila baya linawakuta nyinyi ishu ya nzige sijui imeishia wapi
Makanisa mengi tu, hata Lutheran wanaendelea na ibada kama kawaida. Yajayo yatahuzunisha sana aisee.
Litakalofanya kanisa wana choir tayari wamebainika kuambukizwa COVID-19 huko UgandaKwani lazima uende? If you are uncomfortable, usitie mguu church na fungua “Misale ya Waumini” uabudu nyumbani kwako.
Halafu kanisa Katoliki linakataa kusimamisha misa! Sisi tutapukutika vibaya!
Bado hatujafika level ya kuanza ku panic,waliofanyiwa testing ni kati ya wale 2050 ambao tayari walikua ndani ya mandatory quaranteen baada ya kug , pale unafaa kuanza ku panic ni pale utaskia mtu ambaye hakusafiri ameambukiza mwengine ambaye pia hakusafiri....
Three health workers isolated in Kitui amid virus fearsKwani lazima uende? If you are uncomfortable, usitie mguu church na fungua “Misale ya Waumini” uabudu nyumbani kwako.