Maneno haya namuunga mkono 100% "Avoid men who've got a bunch of children by a bunch of different women",
anawadunga dunga mimba wanawake tofauti tofauti halafu hawaoi.
Kuna baadhi ya hayo aliyoyasema ukiyafuatilia sana basi AMUA kuishi single katika uhai wako wote,
manake mwanaume ni binadamu kama tulivyo sisi Wanawake ni lazima awe na mapungufu yake,
kama tuliyonayo sisi wanawake,kwa hiyo lililo muhimu uwe tayari kuyavumilia madhaifu yake unayoona unaweza kuyavumilia.
KWA SABABU OPRAH NI BINADAMU WA KAWAIDA SO NAAMINI KUWA,
KILA ASEMACHO PAMOJA NA UZURI WAKE BASI NA MAPUNGUFU PIA LAZIMA YAWEPO,
HAKUNA BINADAMU MWENYE MAWAZO, FIKRA,MTAZAMO, NA USHAURI ULIOKAMILIKA KWA 100%.