Hearing aid

Hearing aid

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,504
Reaction score
840
Ndugu zangu kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana kwa hapa Tanzania na bei zake?
 
Ekenywa dispensary magomeni mwembe chai pale petrol station fuata barabara ya vumbi utapita shule ya primary mbele tena utaona hospital. watakupima na wao watajua kama unatakiwa kifaa na kama zipo utapata ila kama hamna unawapa hela wanaenda kununua pale posta opposite na Nmb hq. Tafadhali usinunue bila kupimwa mana hearing impairement ni ishu pana kidogo ni tatizo moja ila lipo kwa kiwango tofauti kati ya mgonjwa mmoja na mwingine, pia kua aina tofauti za hili tazizo.
 
Kuhusu bei nilinunua laki tano mwaka 2008 ila cjui kwa sasa. Hata hiyo kwa kuwa tatizo hili lipo kwa ina tofauti basi hata vifaa pia vipo tofauti kulingana na aina ya tatizo. So vipo hadi vya 1 million, na vipo mpaka more than 1 mill kulingana na ukubwa wa tatizo ambavyo Tz havipatikani. For more info usisite kuniuliza.
 
Mpatanishi, nashukuru sana kwa maelezo yako nitakwenda hapo magomeni na hapo posta pia tumeulizia sana tulipewa taarifa kuwa hamna ni hadi uende SA au sana sasa hivi Nairobi. Kupima sio neno unaweza anzia hata MNH au Aga Khan then ukaja na vipimo vyako. Ubarikiwe
 
Zina bei tofauti kulingana na zinakotoka,bei ya reje reja na karibia mara tatu ya bei ya jumla,ushauri tafuta mfamasia/technician akutafutie kwa bei rahisi kwa hiyo ukishapima na kujua aina ya kifaa nenda pharmacy kubwa kubwa eg nakiete,okinawa,jd,grants ,salama au nenda pale shoppers plaza ie platinum pharmacy ukikwa ni pm ntaku assist
 
Ni PM na kunipa namba yako ya simu mimi ninajua vinapopatikana..nitakupigia nikuelekeze.
 
Ekwenywa hospital magomeni ni Specialist wa masikio na ndio hao utawakua MNH. Ila kwa Ekwenywa kwakua ni private yao wanakupa special care.
Kama ikiwa tatizo ni receiver basi kifaa ni easy kupatata. But kama itakua ni nervous hapo ndio ishu maana matibabu yake Tz ni ngumu ni sharti uende hiyo nchi vinakopatikana wakutibu wataalam wao wenyewe na vifaa vyake wanakupa huko huko.

Kuna aina tofauti za hivyo vifaa kutokana na tatizo la muhusika yani ili ufahamu kwa undani inabidi usome hiki kitabu kinaitwa Communication access for persons with hearing loss by Mark Ross.

Google utakiona kina maelezo na picha za kila aina ya hiyo vifaa. Ninayo hard copy nililetewa na mzee aliopoenda out.

Kwa maelezo zaidi usisite kuniuliza. Stay blessed
 
Jamani Mpatanishi nashukuru sna kwa moyo wako nilijua itanichukua muda sana kupata hizi info, ninadownload na pia nitakitafuta hicho kitabu, Nime ku pm, Stay blessed
 
Back
Top Bottom