hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
saana " wameishiwaKila siku wanarudia rudia tu dah, Yes yes yes yes kila sura mpya hakuna alafu na maelezo ni mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saana " wameishiwaKila siku wanarudia rudia tu dah, Yes yes yes yes kila sura mpya hakuna alafu na maelezo ni mengi
Roman Reigns...Kwa wale wapenzi wa mieleka ya WWE, mkali wa mchezo huo Roman Rain...
Asante kwa kuweka sawa jina hili.Roman Reigns...
Dah wakati huo hutoki kwenye TV ,kina Great KhaliDahh mimi. now days hata huwaga sifuatilii maana huwaga naona kuwa huo mchezo umepoteza mvuto "..
enzi za kina Cena ' Randy Orton " undertaker" stone cold .Shawn Michael .batista. triple H .Umaga . etc
ndio ilikuwaga balaa patashika nguo kuchanika
Ilikuwa noma sana mwanangu dah watu kila jumamosi saa 5 usiku ITV macho kodo mbele ya tvDahh mimi. now days hata huwaga sifuatilii maana huwaga naona kuwa huo mchezo umepoteza mvuto "..
enzi za kina Cena ' Randy Orton " undertaker" stone cold .Shawn Michael .batista. triple H .Umaga . etc
ndio ilikuwaga balaa patashika nguo kuchanika
acha tu ".. Ukikosa kutazama wrestling wakati huo wajihisi kama haujakamilikaIlikuwa noma sana mwanangu dah watu kila jumamosi saa 5 usiku ITV macho kodo mbele ya tv
great khali " Aisee lile jitu kama mnepheli ". ... Aisee ule ni mzimuDah wakati huo hutoki kwenye TV ,kina Great Khali
Hii kitu niliacha kuangalia pale nilipoanza kujiuliza swali kichwani kwangu.
Like:
"Hii kitu mbona ni kama maigizo fulani hivi?"
Basi baada ya kujiuliza hilo swali mara kwa mara wala sikuchelewa sana kuacha kuangalia hii kitu,mvuto ukapotea kabisa.
Bosi wao alisha sema kuwa ni maigizo ya kweli. Mwigizaji akikosea kidogo anaumia au ana muumiza mpinzani wakeMieleka sio maigizo ni mchezo halisi.
Ila kunawakati wanaweza kuseti tangazo la mchezo ujao ili kufanya watazamaji waje kwa wingi.
Hivyo kuonekana kama wanaigiza.
Mchezo huo iliwahi kuchezwa hata hapa nchini hapo zamani kidogo na Ulifungiwa baada ya kukosa viwango vya kuuendesha.
Wachezaji walikuwa Kama
Power Bernardo, Power Shaka Vuru Mroma na wengineo.
Na ulichezwa Kama unavyochezwa Leo kwenye WWE.
Bosi wao alisha sema kuwa ni maigizo ya kweli. Mwigizaji akikosea kidogo anaumia au ana muumiza mpinzani wake