Wakongwe wameshasitafu,huu mchezo nimugumu sana na haitakiwi kuucheza mda mrefu,hasa pale mchezaji akiumia au akipata majeraha sehemu mbaya ndo mwisho wake,
shawn michael,edge, na wengne waliumia ndo wakaacha kabsa hasa edge shingo iliumia akaacha mapema.
HAWA UMRI
Under taker,triple H,Batista,Big show,John cena,Gold ice barge,the lock,landy orton,kalii,kane,Ray back,mark henly,stone cold,curt egle,nk
Niwachache wanaoweza kumudu mikiki hadi uzee mkubwa kama wa under taker na hulk hogan alivyo kuwa mbishi ,wengne akipata hela kidogo na ka umri kakienda anaanza kuwa anapepesuka ,mfano batista na wengineo hawajazeeka kushindwa kufanya mambo mazur ukilinganisha na umri wa under taker au hogan alivyokuwa mbishi
Wengi walitabili wwe inaishiwa nguvu kwani wachezaji wake wengi wanaondoka kila kukicha na inapolomoka sana wanabaki wababaishaji tu,wakina The miz na wengineo wasio na lolote,dakika mbili anakubali kushindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kulikuwa kuna match kipndi kile yan unakaa unaisubr kwa ham ila si kwa sasa.