DOGO HATA KUSHIKA UMA NA KISU HUJUI! Si ule kwa mikono kama ulivyozoea
Kawafyata mkia ha ha ha! Haya ongeeni basiii
orignal ya matumizi y aumma na kisu yameanzia uarabuni misri kama nakumbuka vizurini kanuni maarufu kama table manners, kwahio wewe ukienda kwenye restaurant[sio mgahawa uchwara] ukikuta vimepangwa pale utabadili???maanake visu vinawekwa kulia,uma zinawekwa kushoto,dessert/soup spoons zinawekwa juu/mbele
it doesnt matter u r left/right handed coz u have to use both hands[for holding knife and folk]!
orignal ya matumizi y aumma na kisu yameanzia uarabuni misri kama nakumbuka vizuri
na kiustaarabu uma unashikwa mkono wa kulia ila wazungu wamebadilisha wanashika mkono wa kushoto na sisi ndo tumeadapt hivyo so whatever unaposhika sawa ila kwangu as long as tunalia na mkono wa kulia uma pia nitashika na mkono wa kulia
Dear haters ,najua ninawachukiza saaana..ila vimilieni tu coz nina mengni ya kuwafanya mzidi kuteseka roho
tena inabidi ukiwa unaona tu thread imeanzishwa na mim basi ipite tu pembeni..ya nini kujitesa roho na kuonyesha upumb.. wako kwa matusi....??????????
Mmmh! Hapa u.etuuzia chai bwana. Uarabuni toka enzi wanaketi chini kwenye mazulia, wanakulaje na uma na kisu? Sio kama wanakulaga na mikono?
Dada FaizaFoxy najua ameona dunia, hebu tupe uzoefu. (usiende page ya 1 utachefukwa. Jibu hili tu uondoke tafadhali)
Huyo ajuza labda ungemuita kuja kumtukana Nyerere saa nyingi tu angeshapost mashuzi yake hapa, lakini kwa thread hii amesoma na kujiondokea zake.
orignal ya matumizi y aumma na kisu yameanzia uarabuni misri kama nakumbuka vizuri
na kiustaarabu uma unashikwa mkono wa kulia ila wazungu wamebadilisha wanashika mkono wa kushoto na sisi ndo tumeadapt hivyo so whatever unaposhika sawa ila kwangu as long as tunalia na mkono wa kulia uma pia nitashika na mkono wa kulia
Sababu ya kushika kisu mkono wa kulia na uma mkono wa kushoto ni kama ifuatavyo, asilimia kubwa ya watu hapa duniani ni right handed kwa maana hiyo mkono wa kulia unatumika zaidi na uko active kuliko mkono wa kushoto, hivyo dhoruba za kukata na kupunguza saizi ya vipande vya nyama na samaki na mazagazaga mengine au kukusanya punje za wali na kusogeza kwenye uma ni kazi kama mkono haujazoea dhoruba, hivyo kazi ya kufanya yote hayo huachiwa mkono wa kulia na mkono wa kushoto ni kubeba uma tu ambao umejazwa wali au umechoma kipande cha nyama/samaki na kupeleka mdomoni kazi ambayo haina dhoruba sana kama kama inayofanywa na kisu kwa kutumia mkono wa kulia.mkuu hivi unaelewa kwanini kisu kinashikwa kulia na sio upande wa kushoto...sio mambo ya kanuni sio hesabu hizi...ukinijibu hilo tunaweza endelea.
matumizi ya kutumia umma yameanza baada ya kugundulika chuma,fuatilia chuma kiligunduliwa wapi utapata jibu.Mmmh! Hapa u.etuuzia chai bwana. Uarabuni toka enzi wanaketi chini kwenye mazulia, wanakulaje na uma na kisu? Sio kama wanakulaga na mikono?
Dada FaizaFoxy najua ameona dunia, hebu tupe uzoefu. (usiende page ya 1 utachefukwa. Jibu hili tu uondoke tafadhali)
hahaha haya misri ipo afrika ila wanaokaa ni waarabu does it make sense??? ulishawahi kujiuliza kwa nini israel inashiriki mashindano ya footbal ya dunia kama timu ya europe wakti inapakana na pakistan,iran na nchi nyingine za middle east(asia)?Naenda kumshataki mwalimu wangu wa
Jiografia, kwa nini alinidanganya? Kwa nini hakuniambia kuwa Misri ni arabuni???
watu mpo makini kweli! au waweke visu pembeni watumie uma tu.Kamata umma mkono wa shoto
ni kanuni maarufu kama table manners, kwahio wewe ukienda kwenye restaurant[sio mgahawa uchwara] ukikuta vimepangwa pale utabadili???maanake visu vinawekwa kulia,uma zinawekwa kushoto,dessert/soup spoons zinawekwa juu/mbele
it doesnt matter u r left/right handed coz u have to use both hands[for holding knife and folk]!
Sasa hapo ushamba nini!Kwa hyo una2onyesha ili iweje?ushamba mwingne bana.
Kamata umma mkono wa shoto