Heaven on desert akiwa hotelin na boss wake

Heaven on desert akiwa hotelin na boss wake

Najaribu kuzoom avatar yako na hichi king'amuzi kinanikatalia.
Ila nahisi ni nzuri sana.
Sie tufyate mkia kwa sababu huyu kijana kapelekwa luncheon na boss wake? Seriously?
Kawafyata mkia ha ha ha! Haya ongeeni basiii
 
Me nikajua Heaven on Earth umekuwa celebrity kumbe ni huyu mwanaume anaependa mambo ya kisichana...zamani nilikuaga naona haya makitu Fb siku hizi yameamia Jf !
 
Last edited by a moderator:
ni kanuni maarufu kama table manners, kwahio wewe ukienda kwenye restaurant[sio mgahawa uchwara] ukikuta vimepangwa pale utabadili???maanake visu vinawekwa kulia,uma zinawekwa kushoto,dessert/soup spoons zinawekwa juu/mbele

it doesnt matter u r left/right handed coz u have to use both hands[for holding knife and folk]!
orignal ya matumizi y aumma na kisu yameanzia uarabuni misri kama nakumbuka vizuri
na kiustaarabu uma unashikwa mkono wa kulia ila wazungu wamebadilisha wanashika mkono wa kushoto na sisi ndo tumeadapt hivyo so whatever unaposhika sawa ila kwangu as long as tunalia na mkono wa kulia uma pia nitashika na mkono wa kulia
 
Mmmh! Hapa u.etuuzia chai bwana. Uarabuni toka enzi wanaketi chini kwenye mazulia, wanakulaje na uma na kisu? Sio kama wanakulaga na mikono?
Dada FaizaFoxy najua ameona dunia, hebu tupe uzoefu. (usiende page ya 1 utachefukwa. Jibu hili tu uondoke tafadhali)

Dear haters ,najua ninawachukiza saaana..ila vimilieni tu coz nina mengni ya kuwafanya mzidi kuteseka roho
tena inabidi ukiwa unaona tu thread imeanzishwa na mim basi ipite tu pembeni..ya nini kujitesa roho na kuonyesha upumb.. wako kwa matusi....??????????

hongera ka kutolewa lanchi, Hebu tufanyie mengi tuone ill muda mwingine picha Helena jukwaa lake...
 
Mmmh! Hapa u.etuuzia chai bwana. Uarabuni toka enzi wanaketi chini kwenye mazulia, wanakulaje na uma na kisu? Sio kama wanakulaga na mikono?
Dada FaizaFoxy najua ameona dunia, hebu tupe uzoefu. (usiende page ya 1 utachefukwa. Jibu hili tu uondoke tafadhali)

Huyo ajuza labda ungemuita kuja kumtukana Nyerere saa nyingi tu angeshapost mashuzi yake hapa, lakini kwa thread hii amesoma na kujiondokea zake.
 
Last edited by a moderator:
Kaka hata inayohusiana na kutukuza dini anakujaga bwana.
Huyo ajuza labda ungemuita kuja kumtukana Nyerere saa nyingi tu angeshapost mashuzi yake hapa, lakini kwa thread hii amesoma na kujiondokea zake.
 
Naenda kumshataki mwalimu wangu wa
Jiografia, kwa nini alinidanganya? Kwa nini hakuniambia kuwa Misri ni arabuni???

orignal ya matumizi y aumma na kisu yameanzia uarabuni misri kama nakumbuka vizuri
na kiustaarabu uma unashikwa mkono wa kulia ila wazungu wamebadilisha wanashika mkono wa kushoto na sisi ndo tumeadapt hivyo so whatever unaposhika sawa ila kwangu as long as tunalia na mkono wa kulia uma pia nitashika na mkono wa kulia
 
mkuu hivi unaelewa kwanini kisu kinashikwa kulia na sio upande wa kushoto...sio mambo ya kanuni sio hesabu hizi...ukinijibu hilo tunaweza endelea.
Sababu ya kushika kisu mkono wa kulia na uma mkono wa kushoto ni kama ifuatavyo, asilimia kubwa ya watu hapa duniani ni right handed kwa maana hiyo mkono wa kulia unatumika zaidi na uko active kuliko mkono wa kushoto, hivyo dhoruba za kukata na kupunguza saizi ya vipande vya nyama na samaki na mazagazaga mengine au kukusanya punje za wali na kusogeza kwenye uma ni kazi kama mkono haujazoea dhoruba, hivyo kazi ya kufanya yote hayo huachiwa mkono wa kulia na mkono wa kushoto ni kubeba uma tu ambao umejazwa wali au umechoma kipande cha nyama/samaki na kupeleka mdomoni kazi ambayo haina dhoruba sana kama kama inayofanywa na kisu kwa kutumia mkono wa kulia.

Kama ni mashoto unaweza kufanya kinyume chake ingawa hata mashoto wengi nao katika mazingira yetu ya kula kwa mkono na kijiko pia wanatumia mkono wa kulia.
 
Huo mnyororo huko shingoni kama wa kuvutia maksai anaenda kulima wapi???? Kweli jamaa "famous"
 
Mmmh! Hapa u.etuuzia chai bwana. Uarabuni toka enzi wanaketi chini kwenye mazulia, wanakulaje na uma na kisu? Sio kama wanakulaga na mikono?
Dada FaizaFoxy najua ameona dunia, hebu tupe uzoefu. (usiende page ya 1 utachefukwa. Jibu hili tu uondoke tafadhali)
matumizi ya kutumia umma yameanza baada ya kugundulika chuma,fuatilia chuma kiligunduliwa wapi utapata jibu.
 
Naenda kumshataki mwalimu wangu wa
Jiografia, kwa nini alinidanganya? Kwa nini hakuniambia kuwa Misri ni arabuni???
hahaha haya misri ipo afrika ila wanaokaa ni waarabu does it make sense??? ulishawahi kujiuliza kwa nini israel inashiriki mashindano ya footbal ya dunia kama timu ya europe wakti inapakana na pakistan,iran na nchi nyingine za middle east(asia)?
 
Kamata umma mkono wa shoto
watu mpo makini kweli! au waweke visu pembeni watumie uma tu.
ila, inawezekana ni wale wanaotumia left hands kwenye kila kitu. kama left hand ndio yenye nguvu, ni sahihi kushika kisu kwa shoto na uma kwa kulia
 
Europeans ndio staili yao kula na uma na kisu,Americans they real dont bother that much labda wale wa high society.Hivyo waswahili hata tusiposhika propery sio ushamba
 
ni kanuni maarufu kama table manners, kwahio wewe ukienda kwenye restaurant[sio mgahawa uchwara] ukikuta vimepangwa pale utabadili???maanake visu vinawekwa kulia,uma zinawekwa kushoto,dessert/soup spoons zinawekwa juu/mbele

it doesnt matter u r left/right handed coz u have to use both hands[for holding knife and folk]!

Sio kweli wacha kukariri kama mtoto mdogo, Kisu kitashikwa na mkono wenye nguvu ambao unautumia kwa shughuli zako za kila siku, aliyekupangia hapo mezani no binaadam tu kama wewe, Acha kukariri ni ushamba na uzembe
 
Kamata umma mkono wa shoto

Mkuu watu wengine hawajapata kufundishwa taratibu za mezani. Wangetwanga kwa mikono tuu kama walivyokulia. Hela sio kujua mambo yote,lazima ujifunze.
 
Back
Top Bottom