Heaven on desert ofisinii

Heaven on desert ofisinii

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
heavenWCB.jpg
WCBwasafi#for life
 
mmmmmh_hapo ndio unavyofanya kazi ama,...kazi kweli kweli.
 
hapo gheto tu.kazini unaweka viatu vyenye mavi juu ya meza ya ofisi au viroba
 
😀😀😀😀:thumbup::thumbup::thumbup:😉😉😎 dogo unauwaaa!!!
Nachukia sana umaskini,haya ni moja ya matatizo ya kukulia katika umaskini,kila kitachokuja mbeleni kitakuwa ajabu kwako,lakini ni vitu vya kawaida sana,
 
Heeeeeee!!!!
Kumbe heaven on desert ni ME?
Mabwaku!

Sometimes ukifuatilia post za mtu unaweza ukamjudge tofauti kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Mtu yeyote maarufu akifanya au kusema kitu chochote, basi ata make headline na watu ku pay attention kwa aliyoyasema au kuongea,ni ngumu sana mtu kama humkubali akafanya kioja halafu ukamfuatilia,obvious utampuuza kama unaona anafanya ujinga au yeye mwenyewe mjinga,na kama una pay attention kwa huyo mtu obviously unamkubali. Pengine kwa chochote kile atakachokifanya anajua watu lazima waongee,some people like to be talked,may be he deserves that status,if u don't like his rubbish,obviously u will not even open his thread,but if u do,u better continue to be his fan
 
kwi kwi kwi kumbe ukiwa na shost selebriti na wewe unakuwa selebriti automatikale, ahsante Madame B kwa kunitoa tongotongo wacha na mimi nitafute ushosti na dida wa mchops, oops nimekosea ni dida wa ezden

Mbwa wa police nae huwa police.

Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom