Heaven on desert ofisinii

Heaven on desert ofisinii

am doin my thingz..cjawai jari whta people talks bout me n my life............

Unaweza kuondea na bosi wako akusaidie yafuatayo:

1. Akupeleke Kozi ya English, angalau unapoandika kwa kutumia Kiingereza uandike kwa usahihi.

2. Bosi wako akulipie angalau pesa ulipe jamii forum uwe premium member, Maana unaleta habari zako kila siku huku sio mbaya ukachangia JF.

Ni hayo tu!
 
unaboa wewe hivi huyo diamond ndo mungu wako eti wcb wasafi..huna usupastaa unautafuta huku shame on uuuuuu
 
1608 Views this thread,duuh kweli jamaa super star....
 
Hahahahah ma andunje ni shidaa hahahahahhahah nimeelewa kumbe jamaa emolo ndo maana c makosa yako nimekusamehe bure bure
 
Nimeganda kwa muda nikifikiri niko FB 😉
hiyo nayo ofisi!!!!

Na mbona haujulikani??!!
 
kaka unamzimikia sana Bestizzo unajua kwa nini nakuambia hivyo
 
Back
Top Bottom