Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani Ngabu binadamu mwenzio yupo hospital anapigania uhai wake wawe unatoa kauli hii? sasa kila mtu akikoma kuishi uswahili ndio itakuwa suluhisho la kuepuka vibaka?
acha mambo ya kiswahili na wewe bana
Shove your comment up your ass.
Wapigwe tu tumechoka....!!!!!
Mkuu anza kwa kumtupia PM wakati unasubiri idhini, ni sehemu ya care!Amelazwa hospitali gani na sisi tukamjulie hali?
Ndiyo, wote waswazi hao.
Why people think that? Kisasi?
Kumbe tunahitaji kuwa makini na komenti zetu?[/
QUOTE]
Dada sio comment za humu tu dada!!!!!!
Tunaishi kwa mengi mamy,just thinking kwa upana wake!!!!