Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Mlioko Dar tafadhali msikose kwenda hospitali alipo kumpatia msaada utakaohitajika. Nasi tulioko mbali nawaombeni tujipange ili tumhudumie mwenzetu apone.

Mtoa uzi nakushukuru sana.

Kwa mazingira ya ki JF sidhani kama kuna uwezekano huo......na kama angependa utambulisho wake uwe hadharani asingejiita Heaven on earth....au fyatu au Tutor B....unless kwa wachache walioweka utambulisho wao hadharani.
Cha muhimu ni kila mwana JF mwenye mapenzi mema kumuombea apate nafuu arudi jamvini tuendelee kubadilishana mawazo.

Nadhani principle inayo apply JF ni..............TUMEKUTANA KIMJINIMJINI........TUACHANE KIMJINIMJINI.......

Pole na maombi yetu atayapatu humuhumu......................NADHANI IPO HIVYO.

POLE SANA MUMMY...na hao majambazi walaaniwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…