ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
kiwatengu, kwanza asante kunishtua...
Mungu amponye haraka Heaven on Earth.
Pili nimetambua kuwa unajali uwepo wa miss chagga..teh
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiwatengu, kwanza asante kunishtua...
Najaribu kuimagine binti(if at al ni ke),alone usiku,kwa miguu,no usafiri...anakatiza vichochoro vya ....hatari
yaaani me mwenyewe nashangaa hapa, mana hata habari kamili haijapatikana lakini watu wameshaanza mambo ya ajabu!
Ur day aint dat gud kiddo!!
Very sorry sweetheart!!
Sintoweza kueleza hospitali aliyolazwa mpaka nipate hidhini yake. samahani sana Mkuu.
Mlioko Dar tafadhali msikose kwenda hospitali alipo kumpatia msaada utakaohitajika. Nasi tulioko mbali nawaombeni tujipange ili tumhudumie mwenzetu apone.
Mtoa uzi nakushukuru sana.
Naweza kusema anaendelea vizuri sana kwa sasa.
Mkuu tumuombee kwanza apone hayo ya wivu wa mapenzi hata yeye sidhani kama anaelewa kwa sasa