Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Pole sana dada angu, Mungu akupe afya njema na roho ya kusamehe pia. Take it as a challenge to your prosperity. Kama ulikuwa watembea kwa mguu basi fikiria kununua gari, kama wadhani ulipata nafasi hata ya kujibu shambulizi lolote kama ungekuwa na silaha, si vibaya ukaanza mchakato wa kumiliki bastola kwa usalama wako na kama unaishi uswahilini pia ni changamoto yakukufanya uhamie kwenye maeneo ambayo hakuna heka heka za vibaka. Get well soo Heaven on Earth.
 
bestito jamani nilikuwa sijui mie ndo najua sasa hivi tokana na ubize
pole mwaya Mungu atakuponya sana je uko hospitali gani nije kukuona bestito Heaven on Earth?
 
Last edited by a moderator:
amelazwa hospitali gani na ward no gani nije kumuona bestito H.O.V ?
mpe pole kama ni mkoani mwambie Mungu ameshamponya toka kwa hao
maharamia
 
Duh hao mabwege hawajamfanya kitu mbaya kweli?Make Dar shetan la sodoma lishawaingilia watu et
 

Mkuu!!Is ths serious?
 

Pole sana Heaven on Earth!! Tunakuombea upate nguvu na urejee kwenye majukumu yako ya kila siku, Mungu akupe nguvu na afya, na uendelee ku recover kila itwaapo leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…