Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

aisee, pole sana Heaven on earth,Mungu akuponye haraka sana na Mungu pia asaidie wakamatwe waliofanya uhalifu huo haraka na tuwatambue. Yupo hospitali gani tukamuone jamani?
 
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.

UPDATE
Hali ya Mgonjwa inazidi kuimalika, anaweza kuongea vizuri kiasi,daktari ameruhusu ndugu na Jamaa kumuona baada ya kuridhishwa na hali yake, inatia moyo kwamba ameweza kula chakula pia,ataendelea kuwa hospitali mpaka kesho, inshallah Mwenyezi Mungu atasikia maombi yetu na kumponya haraka.

SALAMU
Anawasalimia sana, na amefarijika kufahamu kwamba tunamtakia kila la kheri aweze kupona mapema, na kutoka mdomoni kwake mwenyewe anasema "Thanks for being concerned, naendelea vizuri ni Kichwa ndio kinaniuma saaana na maumivu mwili wote nahis mwili hauna nguvu asante sana".

Maombi yetu ni Muhimu zaidi hasa sasa anapoendelea vizuri.

Bibilia inasema
Ombeni Mvua wakati wa Masika.

Jioni Njema.
Wandugu Sangar' kwanza umzima? nauliza hali ya HOE vipi maendeleo ya matibabu yake?
Wish her speed recovery and well bng.
 
Back
Top Bottom