Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Pole mgonjwa,
Mi namfeel sana huyu bidada. JF ianzishe hata ka Namba ambako tunaweza kutuma hata kapole akawasilishiwa na admin wa JF.
 
Wewe mleta uzi, unatueleza kuhusu zahama iliyompata H.O.E harafu hutaki watu wajue hospitali alipolazwa ili wakamjulie hali, wewe unataka wafanyaje? kama unaona wanajf hawaaminiki si ni afadhari usingesema tu.
unakuta mtu mpo nae hospitali ila mnashindwa kujuliana hali, eti kwa sababu tu ya kuendeleza utamaduni wa kutofahamiana miongoni mwetu!
Pole sana my da H.O.E

Wisest man ni majina yako halisi?
 
Back
Top Bottom