Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Mwenyezi Mungu amponyeshe haraka na apishe mbali madhila ya aina hiyo kwake na kwetu sote (( very inoccent victim))
Alhamdulillah atoke hospitali akiwa na afya njema.AMIN
 
Hawa vibaka wana moyo sana, Yaani ningekuwa mimi ndo namvizia kumkaba mrembo huyu pale akitokea tu naweka panga chini naomba namba ya simu. Too bad
 
yaani kamchina kanataka kumtoa roho dada wa watu bure get well soon naendelea kufuatilia maagizo ya madaktari utarudi jf tu..
 
Get well soon.... Inuka haraka ufungue macho uone Dunia nzima inafuraha ya kukupokea na kukulakii kwa salama yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…