Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya


±±±±±±±±±±
Tuwe wavumilivu, siku akionekana humu ndani naamini atakuwa kwenye nafasi ya kutoa maelezo kamili kama ataona inafaa.
±±±±±±±±±±
Roger Dat ngoja tumsikilizie,get well soon Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Ooh my..jaman pole sana dear..MUNGU ni mwema utapona tu
mimi na Erickb52 tunakuombea upate nguvu na afya tele
Get well soon Heaven on Earth
Nashukuru kwa kunijuza kipenzi.
Pia nashukuru kwa kufukisha salamu zetu za familia kwa best wetu Heaven on Earth
Tunamuombea kwa Mungu apone haraka iwezekanavyo....Mungu ni Mwema atamrejeshea afya yake haraka!
Get well soon our lovely sister!

Cc Chocs
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu Heaven Mungu atakuponya na kukurudishia nguvu zako kama awali. Tuko pamoja
 
Last edited by a moderator:
pole sana heaven on earth, Mungu azidi kukupa nguvu, we miss u sana hapa jamvini

Habari yako dada yangu. Mbona hunipm? tangu uwe dada wangu wa kujitakia umeingia mitini. Why?
 
Pole sana mdogo wangu Heaven on Eath!

Nimesikitika sana, tena ukizingatua kuwa huu ndo nauona.

Nimefurahi kwamba unaendelea vizuri...

Get well soon..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
waoooooo!!

H O E hatimae umesomeka tena,
Pole kwa yalio kusibu Dada angu
 
Pona haraka urudi kwenye uzi wetu wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…