asporo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 333
- 141
pole sana Heaven on Earth..Get well soon
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
r.i.p mdada
Mkuu Heaven on Earth alivamiwa na vibaka wakati anarudi nyumbani akitokea kwenye function ya rafiki yake...nimezungumza nae na atakuja jukwaani hapa kuweka taarifa sahihi....as long as she is doing well sidhani kama itakuwa vyema nikimsemea....just be patient....utapata majibu yote hata zaidi ya yale umeuliza...
VD
±±±±±±±±±±Tuwe wavumilivu, siku akionekana humu ndani naamini atakuwa kwenye nafasi ya kutoa maelezo kamili kama ataona inafaa.
Nashukuru kwa kunijuza kipenzi.Ooh my..jaman pole sana dear..MUNGU ni mwema utapona tu
mimi na Erickb52 tunakuombea upate nguvu na afya tele
Get well soon Heaven on Earth
Pole sana Heaven on Earth .
pole sana heaven on earth, Mungu azidi kukupa nguvu, we miss u sana hapa jamvini
Get well soon sunshine....
acha uchuro wewe
ana uchuro mbaya huyo daah.....
ana uchuro mbaya huyo daah.....
ana uchuro mbaya huyo daah.....