Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

pole mpendwa nimefura ma kufarika sana kamaunaendelea twashukuru sana. mungu akutienguvu dada.
 
Gratitude to God tumefarijika kukupokea tena HOE ujaaliwe nguvu zaidi kuliko mwanzo.
Spesho 4 U
life is Short thank you nilikuwa napitia hii thread mwanzo mwisho na ulikuwa miongoni mwa watu
mabo walikuwa concerned sana na nakushukuru kwa hilo....hiyo ni faraja tosha kwangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…