Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 492
Ooh; Mpendwa karibu sana Uzidishiwe afya na uzima always ! Dadngu Sasa nasi tujilinde vipi? au tuchukue tahadhari?kama ulikuwa unamaanisha kubakwa HAPANA.........
Mungu akulinde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh; Mpendwa karibu sana Uzidishiwe afya na uzima always ! Dadngu Sasa nasi tujilinde vipi? au tuchukue tahadhari?kama ulikuwa unamaanisha kubakwa HAPANA.........
GWS
..
lakini apunguze matusi kwa watu wazima humu jukwaani!e inaleta mikosi Sana kutukana watu wazima bila kosa lolote!
Ooh; Mpendwa karibu sana Uzidishiwe afya na uzima always ! Dadngu Sasa nasi tujilinde vipi? au tuchukue tahadhari?
Mungu akulinde.
ALhamdulillah My dia je walikamatwa hao vibaka?Alhamdulillah namshukuru Mola kwamba hali yazidi kuimarika...asante sana my dia
its good to see you here.. Pole sana my dear...
ALhamdulillah My dia je walikamatwa hao vibaka?
waoooooo!!
H O E hatimae umesomeka tena,
Pole kwa yalio kusibu Dada angu
Alhamdulillah namshukuru Mola kwamba hali yazidi kuimarika...asante sana my dia
It's my plesure kukuona umerudi ulingoni mpendwa safi sana.
kobun naendelea vyema na ile kitu niliiona kule asante sanaMy Heaven on Earth unaendeleaje?
Waulize wenye mambo ya kiswahili
we ukiwa miongoni mwao...
Poa poa nitakuelezea kila kitu Brother kuhusu hayo yalionikuta....Love you too sissie!!!!!!
Usijali angalia afya halafu kuna siku utanielewesha vizuri!!!!
Be blesssed my dada.
Sina mambo ya kiswahili swahili mimi.
Poa poa nitakuelezea kila kitu Brother kuhusu hayo yalionikuta....
kuna mengine pia ntahitaji kukueleza
Msalimie my wii
life is Short thank you nilikuwa napitia hii thread mwanzo mwisho na ulikuwa miongoni mwa watuGratitude to God tumefarijika kukupokea tena HOE ujaaliwe nguvu zaidi kuliko mwanzo.
Spesho 4 U
![]()