Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
wao mamito welcome back, hope upo kamili gado now.
You say.ila wewe ni mswahili typical
Pole sana mdogo wangu khaa walitaka tusikuone tena, jamani vibaka ni janga. welcome back dear naamini unaendelea vema.Najua hata walikopotelea.........waliondoka hao wakapotea tunawaona
Kikubwa roho yangu niko salama hivo vitu walivyochukua vinatafutwa
Acha hizo wewe. Sina mambo ya kiswahili mimi.
una mambo gani.......
Pole sana mdogo wangu khaa walitaka tusikuone tena, jamani vibaka ni janga. welcome back dear naamini unaendelea vema.
Wewe una mambo gani?
Swali juu ya swali!!!!!!
Pole na madhila yalokukuta.
Hawa vibaka ni majanga sijui Jeshi la police linafanya nini manake naona wanashamiri sasa hivi mara wajiite mbwa mwitu n.k. Tunamshukuru Mungu kwa kukuokoa. Rafiki yangu alinyang'anywa gari na vitu vyake vyote lkn Mungu alimpigania na ameipata gari yakeAsante dear..It was horrible ile siku yaani acha tu nashukuru Mungu niko salama tu
sio sana kihivo...
ile kitu nadhani umeipata asante mwaya
Mungu ni mwema siku zote.. karibu tena mdadaThank you Love........
Hivi huwa unamaanisha nini "Mambo ya Kiswahi"
Mungu ni mwema siku zote.. karibu tena mdada