Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Mungu akutie nguvu urudie hali yako ya kawaida na uendelee na shughuri zako pole sana mama.
 
Asante dear..It was horrible ile siku yaani acha tu nashukuru Mungu niko salama tu
Hawa vibaka ni majanga sijui Jeshi la police linafanya nini manake naona wanashamiri sasa hivi mara wajiite mbwa mwitu n.k. Tunamshukuru Mungu kwa kukuokoa. Rafiki yangu alinyang'anywa gari na vitu vyake vyote lkn Mungu alimpigania na ameipata gari yake
 
Amepona, futeni basi yale maneno ya kwanza kwanza muache ya mwisho yanayosema kapona maana huyu mdada hua ananikamata sana moyo nikiyaona yananikumbusha machungu...
 
Sangarara thank you very much sijui hata nikushukuruje I dont know for sure

ume play part kubwa sana ila I will always be grateful Tyta nisaidie kuweka picha ya

shukrani hapa

PicsArt_1389619243653.jpg

cc:Sangarara
 
Back
Top Bottom