ndugu jamaa na marafiki.
Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu heaven on earth jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.
Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.
Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.